Mahusiano ya kimapenzi ya umbali na jinsi ya kuyafanya yawe ya mafanikio na furaha. Unknown 13:51 Usipomuona mpenzi wako kwa muda moyo huingia upweke, matamanio ya kumtaka kumuona huongezeka mara dufu, mawazo ya jinsi alivyo na kila ki... Read more No comments:
Mansoor Yusuf Himid Ashikiliwa na Jeshi la Polisi Unknown 12:27 Jeshi la polisi linaendelea kumshikilia na kumhoji aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki (CCM) Mansoor Yussuf Himid baada ya kupat... Read more No comments:
Mfumo wa Vanishing Spray kutumika ligi ya Uingereza msimu ujao Unknown 01:19Chama cha soka nchini Uingereza FA, kimeidhinisha matumizi ya Vanishing Spray, kuanzia msimu ujao wa ligi kuu ya soka nchini humo pamoja na ... Read more No comments:
Magari bila ya dereva Uingereza Unknown 10:11 Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa itaziruhusu gari zisizokuwa na madereva barabarani ifikapo mwezi Januari mwakani. Serikali hiyo pi... Read more No comments:
GOLIKIPA WA TIMU YA TAIFA YA PALESTINA AUAWA KIKATILI NA MABOMU YA ISRAEL Unknown 07:32 Familia ya wapenda michezo Duniani imepatwa na msiba mzito baada ya golikipa wa timu ya Taifa ya Palestina U17 Ahmed Abu Sida aliye uwa... Read more No comments:
Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabab wampiga risasi na kumuua mwamamke aliyekosa kujifunga mtandio. Unknown 07:18Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabab wampiga risasi na kumuua mwamamke aliyekosa kujifunga mtandio. Read more No comments:
Ajira uhamiaji zasitishwa kutokana na kashfa kubwa ya upendeleo Unknown 06:49Zoezi la kuajiri wafanyakazi wapya wa kitengo cha Uhamiaji Tanzania limeingia dosari baada ya kukumbwa na kashfa nzito ya wafanyakazi wa ket... Read more No comments:
Fahamu alichoamua Kingwendu baada ya mkewe kubakwa akiwa amelewa Unknown 06:40Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baad aya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa ... Read more No comments:
Chris Brown yuko hatarini, Majirani wapya watishia kumpiga risasi Unknown 11:50 Mwimbaji wa Loyal, Chris Brown ambaye alitoka jela hivi karibuni na kuamua kutafuta amani kwa kuhama nyumba aliyokuwa akiishi kukwepa ugom... Read more No comments:
Ajidai mgeni wa Eid na kumuua ndugu wa rais wa Afghanistan Unknown 10:51 Mtu aliyekuwa amevaa bomu kwa siri amemuua ndugu wa rais wa Afghanistan, Hamid Karzai kusini mwa jiji la Kandahar. Maafisa wameelezaa ku... Read more No comments: