GOLIKIPA WA TIMU YA TAIFA YA PALESTINA AUAWA KIKATILI NA MABOMU YA ISRAEL


Familia ya wapenda michezo Duniani imepatwa na msiba mzito baada ya golikipa wa timu ya Taifa ya Palestina U17  Ahmed Abu Sida aliye uwawa na mashambulizi ya Israel kwa kweli kitendo hicho kimezidi kuionyesha Dunia kua kinachofanyika huko kwa kweli ni kitendo cha uvunjifu wa haki na wanaouawa ni raia wasio kua na kosa lolote.

No comments:

Post a Comment

Subscribe

Flickr