MZEE AGOMA KUPIMIWA KARAFUU ZAKE KWA MEZANI YA ZAMANI'

KATIKA ZIARA YA KUTEMBELEA VITUO VYA UNUNUZI WA KARAFUU KISIWANI PEMBA,,NA KUANGALIA ZOEZI ZIMA LA UZAJI WA KARAFUU KATIKA KISIWA CHA PEMBA MZEE MMJO AMBAYE JINA HALIKUJULIKA KWA URAHISI AGOMA KUPIMIWA KARAFUU ZAKE KWA KUTUMIA MIZANI ZA ZAMANI,SABABU YA MZEE HUYO KUGOMA HAIKUJULIKANA.

Subscribe

Flickr