Hii
imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa
silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko
Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia
mahabusu ya kituo hicho,
majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha
zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall haikuwa na
chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha polisi
ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi
Source; Radio Wapo, Radio Tumaini.
Home
Unlabelled
CHEZEA MAJAMBAZI WEWE ''MAJAMBAZI WATEKA KITUO CHA POLISI''