Mkali katika gemu hapa Tanzania aliyewahi
kutingisha na bado anaendelea kutingisha katika gemu la Bongo Flava
mkali kutoka Mwanza PNC sasa amerudi tena kwa kasi na ngoma mbili kali
akidhihirisha kwamba yeye ni msanii ambae hawezi kupotea na kipaji ni
chake
alichopewa na Mungu. Mkali huyo ambae yuko chini ya kampuni ya
Mtanashati iliyo chini ya Juma na Musoma ameachia ngoma mbili, moja
inatwa "Wewe" na nyingine inaitwa "Kaolewe benki" aliyowashirikisha
wakali wawili katika gemu Juma Nature na Dogo Janja..Sikiliza ngoma hizo
hapo chini..Big up yourself PNC.
Home
Unlabelled
AUDIOS - PNC HARUDI KWA KASI AACHIA NGOMA MBILI KWA PAMOJA