Majaribio kwa Azam Academy
sasa yatafanyika Agosti 6 kuanzia saa moja asubuhi. Wazazi na walezi
tunashauriwa kuwagharamia watoto wetu nauli, chakula, malazi na vifaa
vya michezo
Majaribio ni kwa siku moja tuu na
tunahitaji wachezaji walio chini ya umri wa miaka 15…. kama mchezaji ana
miaka chini 17 na ana kipaji cha hali ya juu sana pia atapewa
kipaumbele
Baada ya mchakato na kama kijana atafuzu kujiunga na Azam Academy Mzazi/Mlezi atajaza fomu maalum kwa niaba ya kijana
Wachezaji mzingatie kuja na vielelezo vya umri wenu, (Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi na Cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja
Imetolewa na uongozi wa Azam Academy
Home
Unlabelled
AZAMU FC, WATOA NAFASI ZA MAJARIBIO KATIKA AZAM ACADEMY'