Kwa mujibu wa vyeti vyake vya shule ya msingi vinaonyesha nyota huyo wa Monaco amezaliwa mwaka 1984 na sio 1986 kama inavyoonekana kwenye wasifu wake. Falcao alianza kusoma kwenye shule ya msingi ya Colegio San Pedro Claver iliyopo kwenye mji wa Bucaramanga akiwa na miaka mitano mnamo mwaka 1989.
Kwa maana hiyo Falcao amejipunguzia umri wa miaka 2 katika umri wake wa halisi ambao ni miaka 29 mpaka sasa. Tangu kuanza kusambaa kwa taarifa hizi sio mwenyewe mchezaji wala wakala wake ambaye ajitokeza hadharani na kukanusha.
![]() |
Cheti cha shule ya Colegio San Pedro Claver kikiwa picha ya Radamel Falcao Garcia aliokuwa mtoto |
![]() |
Cheti cha shule ya msingi cha Bucaramanga |