Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela anaadhimisha siku ya kuzaliwa leo akitimiza miaka 95 akiwa bado amelazwa hospitalini. Hali ya Mandela imeimarika asema Bi. Machel Mzee Mandela afanyiwa maombi maalum "Nelson anapata nafuu", Zuma Familia ya Mandela yazika tofauti zao Read more
No comments:
Post a Comment