MIAKA 10 TANGU RONALDINHO ASAJILIWE BARCELONA NA KUSABABISHA MAPINDUZI YA SOKA HISPANIA.

Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita FC barcelona iliwapiga bao Manchester United na kumsajili mbrazil Ronaldinho Gaucho. Usajili wa mbrazili huyu ndio ulikuwa mwanzo wa mapinduzi ya utawala wa soka nchini Hispania na barani ulaya. Leo ikiwa ni miaka 10 tangu Ronaldinho atue Nou Camp - FC Barcelona imeamua kumkumbuka gwiji wa klabu hiyo Gaucho kwa kuandaa video za mabao yake bora wakati akiichezea timu hiyo.KWANI BADO NI SEHEMU KUBWA YA MAFANIKIO YA FC,BARCELONA.

Subscribe

Flickr