USAFI ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu , ambao humfanya mtu ajisikie huru kwa kila kitu .
wakati anapokuwa na marafiki zake , familia yake hata anapokuwa pekee . Leo tutazungumzia usafi wa kwapa .Kwapa ni sehemu ambayo inahitaji ulinzi na utunzaji mzuri kila wakati . Haijalishi unaoga mara ngapi kwa siku au unatumia mafuta ya aina gani .

MATUMIZI YA LIMAU
>Kata limau na ondoa mbegu
> Baada ya kumaliza kuoga , jipanguse vizuri
> Anza kujisugulia pole pole maji yake , unaweza kutumia kitambaa laini au la
USHAURI
Unaweza kutumia kwa muda ya wiki mbili au zaidi , utaona mabadiliko yoyote au la
Usipendelee sana kutumia dawa za kemikali kutoka viwandani
Na omyy tobyy
No comments:
Post a Comment