Jamaa akimmalizia mtuhumiwa kwa
tofali...
Kibaka mmoja
amejikuta akiyaaga maisha ya uraiani baada ya kuchomwa moto na wananchi
wenye hasira kali....
Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi...
Taarifa
zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo alisahau kufunga
mlango na kwenda kwa jirani...Alipotoka tu, Kibaka huyo alizama ndani na
kuchukua begi la nguo taratiiibu kama lake!
Hakuridhika na begi, alivyotazama pembeni aliona kuna simu .Bila kupoteza muda, kibaka huyo aliihifadhi mfukoni ..
Balaa liliazanza wakati anajiandaa kutoka...Alipofika mlangoni, kibaka huyo alikutana na mwenye nyumba uso kwa uso.....!!!
SINEMA ILIANZIA HAPO!!!!! Watu mwiziii... mwiziiii mwiziiiiiiiiiii....!!!!!
Kutokana na
uzoefu wake wa muda mrefu, jamaa huyo alibahatika kujisweka ndani jumba bovu
lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake....
Raia wenye hasira kali hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo walikata tamaa. Wakati wanarudi nyumbani kwao mara ghafla jamaa akakurupuka na kuchomoka kwenye dirisha la lile jengo bovu alikokuwa amejificha....
Harakati
zikaanza upyaaaaaa!!!!! YAAAANI...!! jambazi hakuchukua raundi akatiwa
mikononi...
MPENDWA msomaji, mambo yalienda kama tunavyoona hapo pichani.

Moto unawaka!

Tairi limeletwa

Mwizi amevishwa tairi na kutiwa
moto!

masaimbofu